Utafiti mpya umeonesha kuna zaidi ya robo ya idadi yawa Australia milioni ambao wametambuliwa kuwa na aina hiyo ya ugonjwa wa moyo.
Ila utafiti huo umeonesha pia kuwa watu wengi hawana uelewa kuhusu aina hiyo ya ugonjwa, hali ambayo inazua wasiwasi mkubwa zaidi.
Upungufu wa pumzi, mapigo ya moyo, kizunguzungu na mchoko.
Hizi ni baadhiya dalili za aina ya ugonjwa mubaya wa moyo, ambao ume waambukiza ma elfu ya mamia yawa Australia, ila si watu wengi ambao wana uelewa kuhusu ugonjwa huo.