Katika mahojiano maalum na SBS Swahili, afisa mwenye dhamana ya kuboresha uhusiano kati ya Sydney Opera House na jumuiya mbali mbali Bi Wanyika Mshila, alitueleza kuhusu maandalizi ya tamasha hiyo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.
SBS World News