Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu"

Tresor

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.


SBS Swahili ili zungumza na baadhi ya wanachama wa jumuiya kutoka Afrika Mashariki ambao walifunguka kuhusu umuhimu waku ongea lugha ya mama, haswa nchini Australia.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share