Shirika hilo lime tafsiri Mwongozo wakuzuia unyanyasaji wakifamilia nchini Australia katika lugha kadhaa kama; Kiswahili, Kiarabu, Farsi, Dari, kihindi, kigiriki, Mandarin na Kiingereza.
Lengo la tafsiri hizo nikutoa taarifa kwa jumuia zenye tamaduni tofauti nchini Australia ambazo Kiingereza ni lugha yao ya pili.
Shakilah Wesonga ni afisa kutoka shirika hilo la Rotary Safe Families. Ali fafanulia SBS Swahili aina ya huduma wanazo toa katika mahojiano maalum. Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za Rotary Safe Families bonyeza hapa:
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.