Namna yakupata leseni yakuendesha gari

Road Safety

Source: Getty / Getty Images

Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.


Nchini Australia, madereva lazima wapite mitihani kadhaa kabla wapate leseni kamili yakuendesha gari.

Wahamiaji wanaweza stahiki kubadili leseni yao yakigeni, nakupewa leseni yakuendesha gari nchini Australia kupitia mchakato uliofupishwa ila, hatuo hiyo inategemea mazingira yao binafsi.

Leseni yakuendesha gari ndicho kibali rasmi, kinacho mruhusu mmiliki wacho, kuendesha gari kihalali.

Share