Ripoti hiyo inaonesha kuwa pengo la malipo ya jinsia bado iko katika kiwango cha chini kwa asilimia 12 ila tofauti zingine kubwa zimesalia.
Kotnyin Thon ni mtangazaji wa idha yaki Dinka katika SBS Audio, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili katika siku yakimataifa ya wanawake Bi Kotnyin, alifunguka kuhusu umuhimu na maadhimisho ya siku yakimataifa ya wanawake nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.