Jinsi yakuwa Mtetezi wa waAustralia wa Kwanza

How to become a First Nations advocate

Young aboriginal students studying together outdoors in the sun in Australia. Credit: SolStock/Getty Images

Watetezi wa waAustralia wa Kwanza husaidia kupaza sauti za jumuiya zawa Australia wa kwanza. Hapa kuna baadhi ya vitu vya kuzingatia kuhusiana na utetezi na “ushirika” na jumuiya zawa Australia wa Kwanza.


Key Points
  • Educate yourself on the history of First Nations communities and understand the relationships they’ve had with the non-Indigenous people.
  • Learn about the traditional owners of the land that you live on.
  • Multicultural communities can draw from and build on common experiences.
Kuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza, Dkt Summer May Finlay ni mwanamke kutoka ukoo wa Yorta Yorta huyu hapa na maelezo zaidi.
Summer May Finlay.jpg
Dr Summer May Finlay.
“Kuwa pamoja na washirika wetu, hutusaidia kukuza sauti zetu pamona nakukuza maswala yetu. Bila shaka ni muhimu unapo fanya utetezi wa mageuzi,” amesema.

Wakati hakuna njia rasmi, kuna vitu ambavyo watu ambao siwa kiasiil wanaweza fanya kuwa washirika.

Jielimishe

Kama katika uhusiano wowote, hatua ya kwanza yakuwa mshirika mzuri “kupata kuwajua watu,” amesema mwanamke kutoka ukoo wa Bundjalung ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Karen Mundine.

“Inastahili anza kwa kuelewa mahusiano na hali tuliyomo leo na jumuiya yawa Australia wa Kwanza pamoja nawa Australia wengine, nakuelewa historia, vitu ambavyo vime endelea katika mahusiano hayo.

Mchakato huo unaweza tajirisha maisha ya mu Australia yeyote, ame ongezea.

“Inawapa fursa yakujenga mahusiano yao wenyewe na watu pamoja na, nchi na mahali,” Bi Mundine amesema.
Karen Mundine Pic Joseph Mayers.JPG
CEO of Reconciliation Australia, Karen Mundine Credit: Reconciliation Australia Credit: Joseph Mayers/Joseph Mayers Photography
Ni muhimu kwa watu wasio wa jumuiya ya kwanza, kuchukua muda kuji elimisha kwa kutumia vyanzo vyaku aminika Dr Finlay ame ongezea.

“Mshirika ni mtu ambaye huchukua muda kuji elimisha, kwa sababu sisi ni asilimia tatu tu ya umma,” amesema.

“Tukijaribu kuelimisha kila mtu, hatuwezi fanya kitu kingine.”

Wakati kuna rasilimali zingine zakujifunza kuhusu wa Australia wa Kwanza, Bi Mundine ana sehemu nzuri yakuanzia nikujifunza kuhusu wamiliki wajadi wa ardhi ya sehemu unako ishi, kupitia mashirika yawa Australia wa kwanza pamoja na halmashauri za jiji unako ishi.

Dkt Finlay ameongezea kuwa shirika la Reconciliation Australia au baraza za upatanishi katika majimbo yenu ni miongoni mwa rasilimali hizo.
Waone watu wote kwa usawa

Luke Pearson ni mwanaume wa ukoo wa Gamilaraay, na ni mwanzilishi wa , jukwaa la mtandaoni linalo onesha naku sherehekea utofauti wa sauti zawa Australia wa kwanza.

Wakati kila mtu anaweza fanya nafasi yake kwa njia nchanya, ana elezea kuwa hisia zake kwa semi za ushirika na washiriki kwa namna hii.
Luke Pearson.jpg
Founder of Indigenous X platform, Luke Pearson
“Sababu sipendi msemo huo nikujaribu kuwaelekeza watu wasio wa Australia wa Kwanza kwa swala la haki yawa Australia wa kwanza na, kwa hiyo kama unafanya vitu vizuri na unasaidia, ni vizuri. Ila, hau hitaji lebo au kibandiko au kuifanya ikuhusu katika hali hiyo.

“Lengo si kwako kujihisi vizuri; lengo ni kuboresha matokeo kwa wa Australia wa kwanza.”

Share