Charlie "Tamasha ya Sawa Sawa ni jukwaa la watu kuonesha vipaji na biashara zao"

Charlie Mdogo katika tamasha ya Sawa Sawa.jpg

Wana jumuiya wa Afrika wanao ishi mjini Sydney wamepata sababu yakufanya mtoko, ambao unajumuisha kila mwanachama wa familia.


Charlie Mdogo ni mkurugenzi wa tamasha ya Sawa Sawa, katika mahojiano na SBS Swahili alifunguka kuhusu motisha yakuanzisha tamasha hiyo pamoja na fursa anazo toa kwa wanajumuiya.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share